Lyrics
Get to know the lyrics of Shackym's songs.
Asante - Shackym
Yeah yeah yeah
Aaah
Miaka mengi sana
Nikifight addiction
Na fiction
Woi woi
Leo mimi baba
Naomba attention
Nimake my confession
Kwanza
Niseme asante
Kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige
Baba ni asante
Hukuniachilia nife me nisahaulike
Asante
Kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige
Baba ni asante
Hukuniachilia nife me nisahaulike
Kipindi nilifika Mwisho nikaona sifai
Sifai sifai
Nikadhani suluhisho ni kujitoa uhai
Uhai uhai
Marafiki wa karibu wakawa ni wanafiki
Wananichimbia kaburi nikidhani ni mashabiki
Eh baba uwasamehe
Nasema asante
Kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige
Baba ni asante
Hukuniachilia nife me nisahaulike
Asante
Kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige
Baba ni asante
Hukuniachilia nife me nisahaulike
Naamka na shida naona mwingine ana zaidi
Nakupea sifa baba na me najitahidi
Wengi wamekufa kwa mishoni za kigaidi
Hawakujua Maisha tamu huwa mafupi zaidi
Pengi nimehusika na rapha ukaniepusha
Nilivyokuwa chafu na sasa umenisafisha
Aliye na mizigo aje wee utazishukisha
Aliye na subra na mwisho ataja ridhika
Asante
Kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige
Baba ni asante
Hukuniachilia nife me nisahaulike
Asante
Kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige
Baba ni asante
Hukuniachilia nife me nisahaulike
Pombe Imenilemea - Shackym
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Nikianza makizungu pole
Ni tei ooh pombe
Nikitoboa masiri pole
Ni tei ooh pombe
Nikianza makizungu pole
Ni tei ooh pombe
Nikitoboa masiri pole
Ni tei ooh pombe
Me na pombe ni chanda na pete
Kwa hivyo leo lazima niokotwe
Waiter ongeza pombe wekea watu wote
Hii siku ya leo lazima ikumbukwe
Ama ni lights zinafanya ninalemewa
Mhh nimechanganyikiwa
Ama warembo wanafanya ninalemewa
Mhh nimechanganyikiwa
Ama ni lights zinafanya ninalemewa
Mhh nimechanganyikiwa
Ama warembo wanafanya ninalemewa
Mhh nimechanganyikiwa
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Nikianza makizungu pole
Ni tei ooh pombe
Nikitoboa masiri pole
Ni tei ooh pombe
Nikianza makizungu pole
Ni tei ooh pombe
Nikitoboa masiri pole
Ni tei ooh pombe
From friday to sunday
Me hushinda tu kwenye vikombe
Holiday ma payday
Pesa zinafanya tunatori hey hey
Zimeshika yeah shika yeah
Na zikishika wee wika
Zimeshika yeah shika yeah
Na zikishika wee wika
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Pombe imenilemea
Nikiendelea nitajinyorea
Nikianza makizungu pole
Ni tei ooh pombe
Nikitoboa masiri pole
Ni tei ooh pombe
Nikianza makizungu pole
Ni tei ooh pombe
Nikitoboa masiri pole
Ni tei ooh pombe